Polisi wakabiliana na waandamanaji Indonesia

Wanafunzi wa vyuo vikuu kwa muda mrefu wamechukuliwa kama vinara wa demokrasia ya Indonesia, ikiwa ni pamoja na kuchukua nafasi kubwa katika maandamano yaliyosaidia kumwangusha kiongozi wa kimabavu Rais Suharto mwaka 1998.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS