Shamba la bangi lateketezwa Mara Shamba la bangi hekari mbili limeteketezwa kwa moto katika kijiji cha Tatwe kata ya Goribe wilayani Rorya mkoani Mara katika oparesheni maalum ya tokomeza uhalifu ikiwa ni pamoja na kuwasaka wezi wa mifugo Read more about Shamba la bangi lateketezwa Mara