Mwanaume adaiwa kuwawekea sumu watoto wa kambo
Katika hali isiyo ya kawaida mwanaume mmoja ajulikanae kwa jina la Kichele Marwa mwenye umri wa miaka 48 mkazi wa mtaa wa Igelegele kata ya Mahina mkoani Mwanza anadaiwa kuwawekea sumu kwenye uji watoto wake wa kambo kwa lengo la kuwauwa ili aishi vizuri na mama yao