Ujenzi wa Daraja la Jangwani kuanza Desemba 2022
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini TARURA Mhandisi Victor Seif amesema ujenzi wa daraja la Jangwani Jijini Dar es salaam utaanza mwezi Desemba mwaka huu 2022 ambapo tayari usanifu wa daraja hilo umekamilika