Viongozi wa dini kutoa elimu ya haki za binadamu
Viongozi wa dini nchini wametaka elimu kuhusu masuala ya haki za binadamu kuwafikia zaidi wananchi katika ngazi ya familia, ili kupunguza kukithiri kwa matukio ya ukatili na uvunjifu wa haki za binadamu nchini.