Tyson Fury anataka Trillioni 1 kupigana na Usky
Bondia wa uzito wa juu wa Uingereza Tyson Fury anayeshikilia mkanda wa WBC anataka dau la zaidi ya Trillion 1 kwa pesa ya Tanzania ili apigane na bondia wa Ukraine Oleksandr Usky anashikilia mikanda 4 ya uzito wa juu.