Bodaboda Mara walishukuru Jeshi la Polisi
Madereva wa bodaboda zaidi ya 100 wamendamana mpaka ofisi za mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kwa lengo la kuonyesha kufurahishwa na kitendo cha askari polisi kuwadhibiti majambazi kadhaa wa kutumia silaha mkoani humo.