Bilioni 44 za mikopo ya vijana Dar hazijarejeshwa
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla, ameagiza kufuatiliwa kwa marejesho ya mikopo ya Halmashauri inayotolewa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu huku ripoti zikionesha tangu mikopo hiyo ianze kutolewa ni bilioni 18 pekee zimerejeshwa huku bilioni 44 zikiwa hazijarejeshwa.