Watoto saba wawekewa vifaa vya usikivu 

Vifaa vya usikivu

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, imefanikiwa kuwawekea vifaa vya usikivu watoto saba na kufanya idadi ya watoto waliofungwa vifaa vya usikivu kutoka mwaka 2017 kufikia 56.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS