Wadau wa utalii duniani kukutana Arusha
Wawekezaji wa sekta ya utalii kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni wanatarajiwa kukutana jijini Arusha katika Mkutano wa 65 wa Shirika la Utalii Duniani (UNWTO) Kamisheni ya Afrika unaotarajiwa kufanyika Oktoba 5-7, 2022 jijini Arusha.