Kampuni 27 za Italia kuwekeza Tanzania

Balozi wa Italy Tanzania Marco Lombardi

Serikali kupitia Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara imekutana na kampuni 27 za nchini Italia ambazo zimeonesha nia ya kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo Kilimo, utalii na Nishati.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS