Simba inapiga hatua- Kocha Mgunda'
Kocha mkuu wa muda wa Simba SC Juma Mgunda amesema kikosi chake bado hakina ubora anaoutaka, lakini ameweka wazi kuwa timu hiyo inapiga hatua. Simba SC inaongoza Ligi ikiwa na alama 13 katika michezo 5 ya NBC Premier League.