Waziri Mkuu akagua miradi mbalimbali leo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Oktoba 2, 2022 amekagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa mkoa wa Lindi, Read more about Waziri Mkuu akagua miradi mbalimbali leo