Shule ya Sekondari Nanyumbu Wanafunzi wa shule ya Sekondari Nanyumbu walipatiwa taulo za kike pakiti 1008 ambazo zinaweza kuwasaidia wanafunzi 84 kwa mwaka mzima. Submitted by Shaluwa Anta on Tuesday , 4th Oct , 2022 Read more about Shule ya Sekondari Nanyumbu