Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi asisitiza Nidhamu
Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob John Mkunda amewataka askari wapya wa jeshi la wananchi wa Tanzania mara wanapo arodheshwa kulitumikia jeshi hilo,kuishi kulingana na kiapo chao ambacho huwakumbusha kuwa hodari ,waaminifu na watiifu.