TRA Geita yavuka lengo la makusanyo
Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania mkoani Geita Hashim Ngoda amesema wamevuka lengo la makusanyo kwa asilimia 132 katika kipindi cha robo ya kwanza mwaka 2022/2023 ambapo walitakiwa kukusanya shilingi bilioni 8.9 kuanzia Julai mpaka Septemba lakini wamekusanya shilingi bilioni 11.9