Wasomi,Wachumi waichambua TAMISEMI
Baadhi ya wachambuzi wa siasa,wasomi na wachumi wamesema kutokana na unyeti wa Wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI wameshauri Wizara hiyo ingetenganishwa ama wameshauri ngazi za mkoa na wilaya wapewe maamuzi ya Moja Kwa Moja kuliko kusubiria serikali kuu..