Qatar yakaribishwa kuwekeza Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha wa Qatar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ukarimu wa Katara Mhe. Ali bin Ahmed Al Kuwari na ujumbe wake, Doha nchini Qatar.