Shule ya Sekondari Masasi Wanafunzi wa shule ya Sekondari Masasi walikabidhiwa taulo za kike pakiti 984 ambazo zitaweza kuwaweka shuleni wanafunzi 82 kwa mwaka mzima. Submitted by Shaluwa Anta on Wednesday , 5th Oct , 2022 Read more about Shule ya Sekondari Masasi