"Bilioni 20 kujenga bwawa Manyoni" - Mavunde 

Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde

Wakulima wa maeneo ya Chikuyu, Maweni na Kintinku wilayani Manyoni mkoani Singida, wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya awamu ya sita kupitia Wizara ya Kilimo kwa mikakati ya ujenzi wa miradi mipya ya umwagiliaji na ukarabati wa miradi ya zamani wilayani humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS