CCM yampongeza Rais Samia kwa mazingira wezeshi
Katibu wa NEC, itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Serikali ya Chama hicho inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeweka Mazingira Bora na Wezeshi ya kuhakikisha Vijana wa Kitanzania kumudu na kuweza kujiajiri