Tuwekeze ubunifu kwenye sekta ya afya-Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema ili kuwa na afya imara kwa watu katika taifa ni muda sasa wa mataifa yanayoendelea kuwekeza katika ubunifu ambazo zitaimarisha na kuinua sekta ya afya ili kuwa na uwezo wa kupambana na maradhi yanayolipuka.