NGOs zatakiwa kufanya kazi walizoziainisha
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameyataka mashirika na taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali zinazopewa vibali vya kuendesha majukumu yake Tanzania, kufanya kazi inazoainisha katika usajili wake ili kuisadia nchi kufikia malengo yake iliyojiwekea ikiwa ni pamoja na kuiunganisha nchi.