Ukraine yaanza ziara barani Afrika

Waziri wa mambo ya nje wa Ukraine Dmytro Kuleba (kushoto) alipotembelea Senegal.

Kumekua na kigugumizi cha vyombo vya habari kuripoti ujio wa Waziri wa mambo ya nje wa Ukraine ambaye amezuru nchini Senegal , akifika katika mji mkuu wa Dakar.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS