Zuchu Hataki Ugomvi na Lady JayDee
Msanii Zuchu ameamua kuwatolea uvivu wadau pamoja na mashabiki wa muziki Tanzania ambao wamekuwa wakimshindanisha msanii huyo na malkia wa bongo fleva Lady Jayde katika upande wa uandishi pamoja na utumbuizaji katika stages