Wafanyakazi wa OYA wafikishwa mahakamani
Washtakiwa wanne kutoka kampuni ya mikopo ya OYA hii leo Oktoba 16, 2024, wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kwa tuhuma za mauaji ya Juma Mfaume (40) mkazi wa Mbagala Mlandizi.