Baba atuhumiwa kuua mtoto wake wa kumzaa Geremiah Kwang (32) mkazi wa Kijiji cha Orkitikiti wilayani Kiteto mkoani Manyara amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu. Read more about Baba atuhumiwa kuua mtoto wake wa kumzaa