Baba atuhumiwa kuua mtoto wake wa kumzaa

Geremiah Kwang (32) mkazi wa Kijiji cha Orkitikiti wilayani Kiteto mkoani Manyara amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS