Steve ajibu "Kunyamaza ni sifa ya kukomaa"
Msanii wa filamu Steve Nyerere 'Tivu Ake' amefunguka baada ya familia ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Charles Makongoro kumpiga stop kutumia jina la baba yao.