Dau la kumnunua Bellingham ni Bilioni 344
Klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani inaripotiwa kuwa imejipanga kumuuza kiungo wao raia wa England mwenye umri wa miaka 19 Jude Bellingham kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 150 zaidi ya Shilingi Bilioni 344 kwa pesa ya Tanzania.