Mradi wa kuimarisha afya ya mimea wazinduliwa
Baada ya Serikali kushirikiana na shirika la umoja wa Mataifa la chakula Duniani FAO na Umoja wa Ulaya EU kuzindua mradi wa kuimarisha huduma za afya ya mimea na usalama wa chakula wananchi wamehakikishiwa mazao yanayotoka na kuingia nchini yanakuwa na ubora