Mzee wa zaidi ya miaka 70 akutwa akilawiti mtoto
Mzee Jackson Lukondo mwenye umri wa zaidi ya miaka 70 anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kukutwa kichakani akimlawiti mwanafunzi wa kiume wa shule ya msingi Masawe mwenye umri wa miaka 14 na kisha kumtishia kuwa atamuua pindi atakaposema kama analawitiwa.