Vodacom wapoteza bilioni 103 kutokana na tozo
Kampuni ya simu za mkononi nchini ya Vodacom imesema imepoteza takribani zaidi ya shilingi bilioni 103.9 tangu tozo za miamala ya simu kwa Vodacom ilipoanza mwezi wa saba mwaka jana hadi kufikia mwezi wa tatu mwaka huu.