Panda digital sms kuwafikia wasichana laki moja
Zaidi ya wasichana laki moja wanatarajiwa kufikiwa na mfumo wa kidigitali unaofahamika kama Panda digital sms ambapo utawawezesha wasichana wa Tanzania kuweza kuendesha biashara kidigitali sambamba na kuunganishwa na fursa mbalimbali zinazopatikana ndani na nje ya Tanzania