Mabaki ya mwanafunzi yakutwa porini
Mabaki ya mwili wa mwanafunzi, Levis Mwailemale (16) wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Ikuti iliyoko wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, aliyepotea zaidi ya miezi nane iliyopita yamekutwa porini pamoja na nguo alizokuwa amevaa wakati anapotea.