Watendaji waagizwa kudhibiti uvunjifu wa amani Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka watendaji wote Serikalini kuweka mkakati wa kudhibiti viashiria vyote vya uvunjifu wa amani katika maeneo yao. Read more about Watendaji waagizwa kudhibiti uvunjifu wa amani