Nigeria yajipanga na uchanguzi mkuu 2023 Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini Nigeria imeyathibitisha majina 18 ya wagombea Urais nchini humo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi February mwakani. Read more about Nigeria yajipanga na uchanguzi mkuu 2023