Wananchi wahimizwa kutunza miradi ya maendeleo

Mradi wa Maji Meatu

Serikali kupitia Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Simiyu, imeagiza huduma ya maji kushushwa kutoka Sh 250 kwa ndoo moja waliyokuwa wakiuziwa na wachuuzi, hadi Sh 30, hatua inayolenga kuiwezesha jamii kutumia maji safi na salama na kulinda afya zao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS