Serikali kugawa vishikwambi kwa walimu nchini
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga amesema serikali ina mpango wa kugawa Vishikwambi vilivyotumika katika zoezi la sensa kwa walimu wote kwa lengo la kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji