Vijana waliojenga zahanati kwa mkopo wafunguka
Baada ya vijana nane ambao ni wahitimu wa chuo kujikusanya pamoja na kupewa mkopo na kufungua zahanati Kipunguni, Dar es Salaam, EATV imefika katika zahanati hiyo na kuzungumza na mwakilishi wa vijana hao pamoja na wakazi wa eneo hilo.