Wadau waombwa kuungana kuwasaidia vijana
Wadau wa mapambano dhidi ya ukatili wa watoto na unyanyasaji wa vijana na watoto wanaoishi katika mazingira magumu wameombwa kujumuika pamoja katika mapambano dhidi ya vitu vinavyohatarisha ustawi wa vijana na watoto.