Dk.Mwigulu apata kigugumizi kujibu swali la Mpina

Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba na kulia ni Mbunge Luhaga Mpina

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 22, 2022, bungeni jijini Dodoma, amepata kigugumizi kidogo wakati alipotakiwa kujibu swali la mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS