Ufaransa yaingilia kati mgogoro wa DRC na Rwanda
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, amekutana na viongozi wa nchi za Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na msigano unaoendelea baina yao juu matukio ya kihaini ambayo DRC inasema kwamba Rwanda inayaunga mkono.