Zalan FC waipeleka Yanga, Benjamin Mkapa
Mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wenyeji Zalan FC kutoka Sudan Kusini dhidi ya Yanga utapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam tofauti na mwanzo ulivyopangwa kuchezwa Azam Complex.