Tanzania kuwahoji wakimbizi wa Burundi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo

Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza mahojiano ya kina na wakimbizi wa Burundi wanaoishi nchini ifikapo 2025, mahojiano ambayo yatashirikisha wadau mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR) ili kubaini changamoto wanazokabiliana nazo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS