Matumaini kupatikana chanjo ya Malaria.
Kumekua na maendeleo mazuri ya ugunduzi wa chanjo ya Malaria na wanasayansi kutoka chuo kikuu cha Oxford. Chanjo hiyo inatarajiwa kuchukua hatamu mwakani baada ya kuonyesha mafanikio kwa 80% dhidi ya ugonjwa huo hatari .