"Michango ya Walimu iheshimiwe" - RC Dar

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla, ametoa siku 14  kwa maafisa elimu ndani ya mkoa huo kuorodhesha migogoro yote ya ardhi inayohusisha uvamizi wa maeneo ya shule ili serikali iweze kuitatua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS