Karani wa Sensa akutana na miti badala ya nyumba
Karani mmoja wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora, amesema alishindwa kuifikia kaya moja iliyopo katika kijiji cha Migelele, Kata ya Lugubu wilayani humo baada ya kuchezewa kiini macho na kuona miti kila aliposogelea makazi hayo.