Mahakama kuamua hatma ya Ruto na Odinga leo saa 6
Mahakama Kuu nchini Kenya, hii leo Septemba 5, 2022, majira ya saa 6:00 mchana itatoa maamuzi katika kesi ya kupinga matokeo ya Rais iliyowasilishwa na aliyekuwa mgombea wa kiti cha Urais nchini humo Raila Odinga.