Wakazi Liwale wanunua ndoo ya maji Tsh. 1,000/=

Uhaba wa maji Liwale

Mamlaka ya Maji safi na mazingira Wilaya ya Liwale, Mkoani Lindi (LIWASA) imeombwa kuzalisha kwa wingi huduma ya maji kwa lengo la kuwatatulia wananchi kero za upatikanaji wa huduma hiyo kwa jamii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS